kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize – nitaubeba كلمات اغاني

Loading...

imagine uko jangwani umepotea
mchana juani unatembea
utokapo ni mbali uendapo ni mbali
mara ngamia mbebaji akatokea
na kukushusha mzigo uliokuelemea
upate afadhali pole na safari
and that’s what you did to me yote tisa ila k_mi
umeonesha maana ya upendo
si kwa maneno bali kwa vitendo
umeridhika na nilichonacho
vya watu hutoleagi macho
siku nikiwa sina twalala
oooh baby twalala
aaaah baby if i close my eyes mi namuomba mungu akulinde
na akusimamie we ndo pacha w_ngu mie
eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
sikusikii ukilia sikusikii ukisema
niko busy na boo jamani nimeshasema
niko busy na baby na msalaba wake

nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
nitaubеba (ama kwenye shibe na njaa)
la kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiumе

imagine hujifahamu umezimia umewekewa damu zinaingia
bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
mara dakitari wa zamu akaingia umepata fahamu unamw_ngalia
machozi yanakuanguka unatamani funguka
and that’s what you did to me yote tisa ila k_mi unanifurahisha kwenye tendo
au unipe penzi la magendo
aaaah baby if i close my eyes mi namuomba mungu akulinde
na akusimamie we ndo pacha w_ngu mie

eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
sikusikii ukilia sikusikii ukisema
niko busy na boo jamani nimeshasema
niko busy na baby na msalaba wake

nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
la kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume
iwe kwenye shida na raha ama kwenye shibe na njaa
la kwako ndo langu my darling

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...