kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

haitham – ananichora كلمات اغاني

Loading...

[verse1]
muda mwingine nakuhisi kama wale wale
moyo ukauchimba n’a kuuacha tambarareeeee
don’t you see nakupambania ulale  ule ulaleee
k_mbe ndo mlivo wanaume wa leo

ninachoitaji unipe love nashangaa umenimix kwenye collaboo
ka roho kananiendaa juu
nikijishusha bado nakula za mbavu

[chorus]
aah k_mbe ana ni choraa ananichora
mwenzenu ananichora
bila aibu ananichora

[verse2]
wajibu w_ngu kupata banana
halua nimpatiee
n’a huwa namkiss akilala lakini sawa n’a bure

penye yangu mapungufu mi ananichocha
nakuniweka hadharani

n’a pâle napomwitaji ye mwenzangu anataka dola
[chorus]
aah k_mbe ana ni choraa ananichora
mwenzenu ananichora
bila aibu ananichora

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...