kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

goodluck gozbert – wastahili sifa كلمات اغاني

Loading...

nasi tunainua sauti zetu kukusifu iushie milele
hallelujah
umeumba jambo jipya la sifa
umeumba jambo jipya la sifa
bwana u mkuu mwenye kusifiwa sana
bwana u mkuu, mwenye kusifiwa sana
tunakuabudu yesu
(yesu)
wastahili sifa, za moyo w_ngu
wastahili sifa, za moyo w_ngu

(bwana yesu u mkuu)
bwana u mkuu,
(hakuna tena mwingine kama wewe)
mwenye kusifiwa sana,
(wewe uishiye juu na kutamalaki milele)
wewe u mkuu mwenye kusifiwa sana,
(wewe ni mungu mkuu)
mwenye kusifiwa sana
(tunakupenda wastahili sifa peke yako)
tunakuabudu yesu
(tunakuabudu yesu)
(wastahili)
wastahili sifa (za moyo) za moyo w_ngu
(wastahili)
wastahili (wasta., wasta., wasta…,)
sifa za moyo w_ngu
(wastahili)
wastahili (eeh bwana, bwana, bwana)
sifa za moyo (hallelujah) w_ngu
(bwana, ooh ooh ooooh)
wastahili sifa (bwana) za moyo w_ngu

falme na tawala zote za dunia,
zinajua hakukuwepo na kamwe,
hakutakuwepo mwenye mamlaka,
wa kuzidisha mbingu na nchi,
isipokuwa wewe mtakatifu,
eeh bwana wa majeshi,
mungu utawalae na k_miliki daima,
nasi tun_z_inua na kupaza sauti zetu juu sana…
tukilitukuza jina lako eeh mwamba wa kale,
asante tena na tena eeh bwana wa majeshi…
sifa na utukufu vikurudie wewe peke yako…
ooh asante asante asante…

bwana u mkuu mwenye kusifiwa sana
(hapana tena mungu kama wewe)
bwana u mkuu (eeh eh) mwenye kusifiwa sana
(god, uuh uh)
tunakuabudu (yesu, yesu) yesu
wastahili (tumekuja kukuadhimisha bwana)
sifa, za moyo (eeh eh) w_ngu
(uuh, yeah, yeah)
wastahili (eeh, eh bwana, bwana, bwana)
sifa za (eeh, eh) moyo w_ngu
(ooh, oh bwana)
wastahili (tunaliinua jina lako takatifu) sifa
(asante mungu), za moyo w_ngu
(asante kwa sababu peke yako unastahili sifa)
(ooh, ooh, ooh)
wastahili (lord yes, yes, yes, ooh asante)
za moyo w_ngu (ooh asante)
wastahili (yes lord, oh oh) sifa
za moyo (ooh, ooh) w_ngu
wastahili
(asante mfalme wa amani, asante jehovah, asante mungu mkuu)
(fadhili zako ni za milele, wewe ni mungu uliye kweli)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...