goodluck gozbert – shukurani كلمات اغاني
nina kushukuru mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili
nina kushukuru mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha
sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi mungu ningekulipa nini
ulikonitoa ni siri ya moyo w_ngu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu
umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba
hata shukurani zangu ni kwako
shukrani zangu ni kwako
na shukurani zangu ni kwako
shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
aibu umefuta fedheha umefuta
umenipa amani iliyo ya kweli nak_mbuka nalia mimi ni yule ambae
nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea
ikiwa kwa siku za usoni walisema tun_z_ka kesho
ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba
hata shukurani zangu ni kwako
shukrani zangu ni kwako
na shukurani zangu ni kwako
shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri
ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante baba)
ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani
furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kw_ngu
na shukurani zangu
yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele
yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele

كلمات أغنية عشوائية
- aunt tabby › aunt tabby – sunday كلمات اغاني
- luiz geraldo › luiz geraldo – agradeço ao meu deus كلمات اغاني
- lordarthurviper › lordarthurviper – shattered كلمات اغاني
- freedom cafe › freedom café – el duende / the duende كلمات اغاني
- count me in › count me in – tonight’s the night كلمات اغاني
- crazy jay › crazy-jay – alles trash كلمات اغاني
- boy froot › boy froot – pale goth witch كلمات اغاني
- el mayor clasico › el mayor clásico – somos ricos كلمات اغاني
- renee heartfelt › renee heartfelt – misanthropes (acoustic) كلمات اغاني
- ahn ye eun 안예은 › ahn ye eun (안예은) – 파아랑 (deep blue) كلمات اغاني