kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

golden tz – lonely كلمات اغاني

Loading...

yoo yooo yooo
you knew me from the start
unanijua toka mwanzo

tena unajuaa
kwako bwege hamnazo

tena namtambua
huyo mwehu aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto

baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonley
mwenzako niko lonely
baby lonely

tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j_po inaniuma sitambui

tena namtambua
huyo mwehu
aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto

baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonely
mwenzako niko lonely
baby lonely

tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j_po inaniuma sitambui

j_po penzii
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi
solo solo
nimechacha
kiporo poro

penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi solo solo
nimechacha kiporo poro

kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo solo
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...