kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

gnako – gusanisha كلمات اغاني

Loading...

eehee leo hio, makodi kitu fireee.. weeeee eeh
(makodi k!llin them!)

twende gusa, gusa
eeeh gusa, gusa

gusanisha, gusanisha
gusanisha, hasi na chanya
gusanisha, panya na paka
gusanisha, nyama kwa nyama
gusanisha (mamawe)
mabaharia toka busa tulifika
waweke fensi tunarukaga ukuta
kama mafisi hatuachagi hata mifupa
mifupa

cha mtu _ wanashikaga ukuta
bia tatu ila baadae utajuta
kama ulipinga basi leo tunafuta
eeeh tulifuta

watu wanaruka majoka huko(mama)
viuno vimefungwa mota hivyo(haya)
si kuchafua na boxer huko
mjomba katangaza ndoa huko

ahee, ahee, mama ahee
ahee, ahee, gusa ahee
hapo gusa unase, gusa unase
twende gusa unase, gusa unase

gusanisha, gusanisha
gusanisha, hasi na chanya
gusanisha, panya na paka
gusanisha, nyama kwa nyama
gusanisha, (mama weee)
oyaa kanyagia
hatari ya moto inaunguza
kucha simamia
mgambo w_ngu rungu suuza

nigande nigande kama ruba
nipe mahaba na huba
wasema umetoka busaa
bemba bembea buruzaa

mambo iyente yente, teke teke
ongeza makeke kwa mahali pake
chombeza nele, kitundе gede
chumbani karate mixеr mateke

usije ukanisusa
napenda ukinigusa
safari nafika
hasa ukinikoleza, ayee

gusanisha, gusanisha
gusanisha, hasi na chanya
gusanisha, panya na paka
gusanisha, nyama kwa nyama
gusanisha, (mama weee)
gusanisha, gusanisha

gusanisha, gusanisha
gusanisha, hasi na chanya
gusanisha, panya na paka
gusanisha, nyama kwa nyama
gusanisha, (mama weee)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...