fid q – champion كلمات اغاني
vile nina discipline
hata ukinidiss mimi
sileti shazi,sikuweki wazi kwenye big screen
ninasaka chi_ ching
ninafanya big tings
kazi kazi nyie waduanzi hamnishushi mimi
mie ni striker mwenye kiu ya kuitikisa
nyavu/
mie ni fighter.. kauli mbiu ni kuwashikisha adabu
taita mwenye mbio ziso_umiza pafu
kama bysir ukiwa na mlio ukiniita mie ninarapu
na nikitema sixteen au hata nyingi bars
ninarushiwa g_strings.. shilingi au hata bras
mixa shangwe nyingi, applause.. picha wanipambe mdingi ofcoz watambe wako na king wa flows za kibabe wawachape paah
mablingbling.. mie huwaga sipendi yavaa
nimejaa madi_dini.. kichwani mengi sa_
na ninapowin win..
ninaona macho ya chini chini
kama msako wa king pin
mie na hustle ni twin twin..
haters wananuna why sijalegeza? mayn..
haupaswi kupuuzwa kama hauna cha kupoteza
na hata kama ni fedha nyingi nitashika ..
na kutekeleza yale ya msingi kila dakika
ninaik_mbuka shida mavumba nikishika
ninawasafisha walionichafua
walioniombea njaa ninawalisha na kuwanyanyua
walioniangusha walioniliza ninawafuta chozi
walionidhulumu wakinikopa ninawalipa ofcoz
kero za kelelе nin_z_jua
na sio kila kinachokusongesha mbele ni hatua.. surе
kwani.. haujawahi kugomewa na break za gari pindi ukiwa mlimani?
au kwenye spidi kali..na vigingi havionekani..
ukapona ajili ya dua za wale witness kwa njia
k_mruhusu mdhaifu akukere hiyo ni weakness pia
kuna mambo hayaji bila force hivyo ukipozi utanywea
na kw_ngu uhuru si chochote ikiwa hautoniruhusu kukosea
we are we are..
we are who we are
we the champions
sisi ni washindi
we are we are..
we are who we are
we the champions
sisi ni washindi
كلمات أغنية عشوائية
- king promise › king promise – oh yeah كلمات اغاني
- yrn lingo › yrn lingo – thang on me كلمات اغاني
- the whiskey charmers › the whiskey charmers – dirty little blues كلمات اغاني
- mange schmidt › mange schmidt – flakhits (lalala) كلمات اغاني
- sofine › sofine – fuck a bitch كلمات اغاني
- hebe tien 田馥甄 › hebe tien 田馥甄 – 凡人歌 / 火 (song of ordinary people / fire) – live كلمات اغاني
- tear out the heart › tear out the heart – eternal shadows كلمات اغاني
- 9tails › 9tails – ny كلمات اغاني
- jelani imani › jelani imani – serenade me كلمات اغاني
- cartunserial › cartunserial – skinny nigga problems كلمات اغاني