kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

femi one – sina haja كلمات اغاني

Loading...

sina haja mi sina haja mi
sina haja mi sina haja mi
sina haja mi sina haja mi
(kaka empire is the lifestyle)
sina haja mi sina haja mi (mi mi mi)
sina haja mi sina haja mi (mi mi mi)
sina haja mi sina haja mi (mi mi mi)
(bern music)
mbleina amedunge earphones kwa klabu
pia inashika ju ya sina taabu
life nakula kwa sinia na adabu
unataka leo nilewe nikuambie “i love you”

nikiwa sober ndo nina maringo na ego
ndio maana nyi hushindwa mbona mi hushidanga single
mi humingle lakini roho yangu hauwezi dingo
huwa simple lakini kupenda mtu si simple
diva kimwili gangster kiroho
hii nairobi inafanyaga nifiche mafilo
hawa ma man wanaweza kufanya fanya
wanama wakipuliza vako kipanya panya
sina haja mi, sina haja mi
sina haja mi nimekaza moyo
mniite fiti solo
sina haja mi, sina haja mi
sina haja mi nimekaza moyo
mniite fiti solo
confessions niliachia mafala
oops i mean confession niliachia mafather
hii roho sifungui ata ukija na master
hio shine hainishtui hata ukipaka mafuta
ju ka ni doh niko nayo kwa wingi
labda uniroge na zile madumba za mwingi
na sina bei na ingekuwa bado hamfiki
ukinikatia nakuweka kwa zonе ya kirafiki
diva kimwili gangster kiroho
hii nairobi inafanyaga nifiche mafilo
hawa ma man wanaweza kufanya fanya
wanama wakipuliza vako kipanya panya
sina haja mi, sina haja mi
sina haja mi nimеkaza moyo
mniite fiti solo
sina haja mi, sina haja mi
sina haja mi nimekaza moyo
mniite fiti solo
femi amesema yote
sanaipei wacha pia mi nichochwe
itakuwaje unadunga unatupa
alafu mi nibaki miguu wazi nikikupa
you must be outa go mind
to think that you can handle my kind
one state do i shy
ukichoma mara once middle finge to you bye bye
sina haja mi, sina haja mi
sina haja mi nimekaza moyo
mniite fiti solo
sina haja mi, sina haja mi
sina haja mi nimekaza moyo
mniite fiti solo
sina haja mi sina haja mi
sina haja mi sina haja mi
sina haja mi sina haja mi
niite fiti solo, niite fiti solo
niite fiti solo, niite fiti solo
niite fiti solo, niite fiti solo
niite fiti solo, niite fiti solo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...