kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

femi one – lockdown freestyle كلمات اغاني

Loading...

marapper hushinda wakiskia kameme ma sunday
na mi niko studio daily ka kamene na andy
wako na energy haitoshi kunikiss 100
wanatry kubonga mbolea ndio wapande
ila no how, i got the game on lockdown
i got the game on lockdown
ila no how, i got the game on lockdown
i got the game on lockdown
so the other day, mi na mejja dropped another jam
another trend ka mary keitany i run the game
but then again nilichachisha ju ya hao madem
waliget my track on blast waka whine their waist
wakafire waist, wakafire wee
ikasimamisha miti kama mathai w_ngare
safe to say ka si curfew na corona sai
kwa club w_ngedance tu uno bila harmonize

na vile now i’m on on evеrybody lips
kama mask sahii vile covid imehit
too bad mahater hata timе ya ku_quarantine
wako na nguvu ya kuhate si hii ni __
cyber bullying ona saa yenye ilini_iritate
kwanza girls that made me feel some type way
ingesound so much s_xier ku_congratulate
and lets be honest if you cool unge_imitate
na nywele yellow kama ile suti ya omollo
you let your body run kama pedi na koro yoh
so kamati ya roho chafu waki sh_t_talk
you get your money up na ma_follow kwa tiktok
na fame ni hard but is the drug that we be on
you think ni si tumeweka ngoma na video
lakini sivyo we, uliza simple boy
utahitaji uvumilivu shinda pitson yoh
you got hate weka that on lockdown
ka we ni mbleina put complaining on lockdown
ladies move your body to the beat and drop down
una do it mara ingine hata wakiku_talk down
it’s only lame, hmm ku_body shame
okwonko ana kitambi lakini all the same
ye ndo niliuliza kama nikimpee
ataweza kuniteka kama ndugu ya cain
kila kiungo ya mwili huduu kile inafaa kuduu
coz i gave you one year bado mi nitakupa miguu
shika shoulder ka unalia lakini haga zii
hio ni ya kukalia marapper na mapicha kwa magazine
mi huwaosha na bars, so pa kuwaanika ni huku
hizi siku hatari cheki habari kwa mbulu
mita moja tosha ila bora mbili na nusu
mwezi moja tu na mshajaza mwili na kutu
kwenda mochatha ni hatia
nairobi pia mabara bara ni clear
na vile kawaida huwa wakora kwa rodi
mama anaibiwa kibeti na hakuna cha lo
nakua uliona hashtag #apartbutnotalone
stay busy hapo home pika chapata ma corns
tata chat on your phone, chora art, write a song
ka ni blunt au mabong, au usiku kucha ka jong
hmm ila jali jirani
kushiba ye akilala njaa ni curse na kisirani
na ugonjwa mbaya kushinda corona ni mi sijali
ju sharing ni caring nani usiwe bani
i’m on my own league kama caster now
since i made a million views niko past mathao
uno about to bounce but ma_shoutout nao
mad love if my song ulipass around
lockdown, lockdown!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...