kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ethan muziki – kesho kutwa كلمات اغاني

Loading...

[verse 1]
kw_ngu kujua na kukua
ni lengo la kila kukisha tua
hivyo hata ukinizungusha
sioni shida, utanifundisha

wakaribu wanatambua
saa zingine maneno hunisumbua
huwa yanikataa
huwa yanihadaa

[pre_chorus]
lakini we, ona ninapaa
ndege ushanifanya
ukipandisha bei, unajua nitafika
na nitapita yie
lakini we, ona ninapaa
ndege ushanifanya
ukipandisha bei, unajua nitafika

[hook]
hata kesho kutwa, tutapendana
na usiku kucha, tutapendana
hata kesho kutwa, tutapendana
na usiku kucha, tutapendana
[verse 2]
wewe unanijua, gizani umenitoa
sikudhani ningetoboa
ni mara ngapi nilikwama?
ni mara ngapi? umechagua niwe na we’!

na siezi ngoja kwenda kwenye goti
nikuvishe pete dunia i_notice

[pre_chorus]
vile ninapaa, ndege ushanifanya
ukipandisha bei, unajua nitafika
na nitapita yie
lakini we, ona ninapaa
ndege ushanifanya
ukipandisha bei, unajua nitafika

[hook]
hata kеsho kutwa, tutapendana
na usiku kucha, tutapendana
hata kesho kutwa, tutapеndana
na usiku kucha, tutapendana

[interlude]
ooh, i promise to love you
you inspire me
you….
[bridge]
oh yes, oh yes, oh yes!
we’ve given love a chance
niwe na we’, na we’!
(love is always in us)

[refrain]
sometimes we fall in love
love us always in us
sometimes we fall in love
love is always in us

[coda]
hata kesho kutwa
na usiku… na usiku
kesho, kesho, kesho!
na usiku
tutapenda

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...