kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ebebé jamal – samata كلمات اغاني

Loading...

mongi records

usawa wa magu tumeshasahau bata
pesa haikai,maisha sio tena karata
muda unakuacha tu pale uzimapo data
utajiri beat alafu wachache ndio wanaonata
yule bishoo leo ndio anaebeba taka
wakuitwa bikira haki ya nani leo ndio anaedanga
mpole fulani juzi amenishikia panga. he..!
sharo milli milli hujamuona anauza karanga
kiongozi ,tumemshika na ngozi
anapinga hajala nyama,ukibisha anamwaga noti
mitandaoni, habari ya mjini konki…
usipotazama soko haki ya nani kimziki hutoki..
wenzako spidi ya rocket we unagombea gari moshi
siku hizi level za jux hazitofautiani na za rotimi…
kibarua posho ndogo,nani kasema uyo yuko wapi, sio mimi
ndio maana nikiwa na mic mi huwa najiona samatta

samatta, samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
mi huwa najiona samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
mi huwa najiona samatta
vyuo vikuu..jeuri yao boom ..boom ..boom.boom
sikuizi handsome…uwe na vroom..vroom..vroom.vroom
demu mkali wahuni washaizoom zoom zoom zoom
ndio maana hata unikatae mi huwa najiona samatta
samatta, haina kufeli
samatta, haina kufeli
samatta,haina kufeli
mi huwa najiona samatta

samatta, haina kufeli
samatta, haina kufeli
samatta,haina kufeli
mi huwa najiona samatta

juzi nilipata senti si nikasema niingie mjini
k_mbe watu kazini baadae wakaniingiza mjini…
nikarudi mtupu .nikajuta hata kwenda mjini
mjini,bora ningepunga upepo baharini
sina uhakika wapo wanaotegemea wanaotegemea genie
eti twak_mbuka mungu ndie aliyeumba madini
alietuletea john, aje akomboe zizi
lililozungukwa na mbwa mwitu..wapole ila ndio ibirisi
marafiki…mafisi…safi sana huku wanadisi
unauziwa gari zima , ukisign tu inamiss
namba yako washaiblock na washaidelete
umechezewa chezo mtoto mdogo yake pipi
ebitoke yake kiki, papa yake gigi
mambo ipo huku akupunguzie iko nyingi
kaa pembeni huwezi league
huu uwanja una vigimgi
ndio maana hata ukidis mi huwa najiona samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
mi huwa najiona samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
samatta, samatta
mi huwa najiona samatta
vyuo vikuu..jeuri yao boom ..boom ..boom.boom
sikuizi handsome…uwe na vroom..vroom..vroom.vroom
demu mkali wahuni washaizoom zoom zoom zoom
ndio maana hata unikatae mi huwa najiona samatta
samatta, haina kufeli
samatta, haina kufeli
samatta,haina kufeli
mi huwa najiona samatta

samatta, haina kufeli
samatta, haina kufeli
samatta,haina kufeli
mi huwa najiona samatta

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...