kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ebebé jamal – napata raha rmx كلمات اغاني

Loading...

naf yeah
you know what
remix
mongi records
yeah
this is the remix man

w_ngejua long time, wasingeleta pozi
w_ngechangamka kutusua ila wamepata loss…
walitaka wasiwe ndembe yanini wachezee koki
w_n_leta za tom and jerry bongo joti, mpoki
kuzaliwa mtaani, aimanishi una mkosi, ah ah.!
ukijifungia ndani, kwa mungu piga goti. ah.ah.!
ukiwa chocho za mtani,hakiki mif_ko ina noti
kuna wanaovimba mtaani na msosi wanaunga doti. ha, ha.!
nasaka dough… sina poz… ndio mana… nipo less mtani
wanaona soo… ninavyoflow… nipo seriuz na sio funny…
kuwa goi nasema no,na siji ilaumu serikali
lakini form four wewe ni high learning na unakaa nyumbani
pumzi visa, uhai leseni naona mw_nga sio kiza
wamenipa visa wamenipa visa,braa, braa
swaga nyingi haters wanadai nimepitiliza
wamenipa visa wamenipa visa, ha, ha, ha ha.!

mimi nina mi ninapiga flow
mimi nahastle nipate dough yeah
nakaza mi navuja jasho nipate kula nishike salary yeah
life hainicontrol, kw_ngu ina bao bila mikazo yeah
kimbiza mbiza mi nafanya leo ugali kesho ni wali, yeah.!
napata raha, napata nataka raha
life is so good, napata raha
nahastle ili nipate raha, hastle

napata raha, napata nataka raha
life is so good, napata raha
nahastle ili nipate raha, hastle

nahitaji muda kwa hakika
sitopenda sink kwenye weed ama liquors
sitaki use a lot of energy niimbe mautumbo nitafeli kabisa
kama nikikata tamaa wadogo kw_ngu watakata mauno hadharani
this is not funny
that’s how the game goes for the fame sio utani yeah
you have my number not my attention don’t get confused
you tried to hate you’ve failed
you like the things i do
too many calls and texts
yooh n_gga nani you
blunt stoner? naf call the cops
he’s selling ndumu
hustlers never give up chozi la mnyonge huleta bao la ushindi
muziki kifikra ni ngumu league
hatua ya makundi ni studio
mtoano ni kwa radio
robo final acapella bro
nusu final your performance yooh
and your final mapokezi yeah
mimi nina mi ninapiga flow
mimi nahastle nipate dough yeah
nakaza mi navuja jasho nipate kula nishike salary yeah
life hainicontrol, kw_ngu ina bao bila mikazo yeah
kimbiza mbiza mi nafanya leo ugali kesho ni wali, yeah.!

napata raha, napata nataka raha
life is so good, napata raha
nahastle ili nipate raha, hastle

napata raha, napata nataka raha
life is so good, napata raha
nahastle ili nipate raha, hastle

mongi records

hastler

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...