kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

don santo – subiria كلمات اغاني

Loading...

moyo wa upole, sina tena wak-muita baby;
kama kuwa mbali, itafanya nikukose mimi, nanana;
ushahidi wakushuta;

harufu basi itabaki kwako;
maadili mulonipa, ipo;
afadhali ungekuja ujionee;
ama tuma picha nipone;
hata gari kweli lijae vipi;
dereva hawezi kosa kiti;
kwani mama yo my barrister;
my shining star;
my holy life giver;
papa yo my wisdom guide;
my hero and a soldier man

ni venye mupo mbali nami;
na venye nawamisi yaani;
na afrika nitarudi tena;
na kenya nitarudi kisha.

karibuni nitarudi mama, ngoja
subiri papa nitarudi nyumbani, ngoja
i miss you bad, i miss you here, i miss you nana nana nana
karibuni nitarudi mama, ngoja
subiri papa nitarudi nyumbani, ngoja
i miss you bad, i miss you here, i miss you nana nana nana

toa wasi wasi, baby [take it ] easy;
hebu weka subra, tutaonana kwani nak-misi;
naona ni mateso every day, wowo;
kuonana kukicha kwa facebook nonono;
ahadi nilokupa nimeiweka, tata;
mpenzi siskize wa twitter;
jamani namisi tu home;
ugali wamuogo na miwa kibao;
siwezi lenga ukweli, kl-ssik ni big thing all praises to god;
forever yo my only hope, my heart and soul;
i miss you my darling;
namenya niko fiti na u vipi kaka?
i misss you like crazy

ni venye mupo mbali nami;
na venye nawamisi yaani;
na afrika nitarudi tena;
na kenya nitarudikisha.

karibuni nitarudi mama, ngoja
subiri papa nitarudi nyumbani, ngoja
i miss you bad, i miss you here, i miss you nana nana nana
karibuni nitarudi mama, ngoja
subiri papa nitarudi nyumbani, ngoja
i miss you bad, i miss you here, i miss you nana nana nana

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...