kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dogo janja – my life كلمات اغاني

Loading...

lalalaa lelelee am living my life ×4
thank you lord
baba na mama wamenileta kwenye dunia,eeh
thank you lord for the life j-po kuna mengi ninapitia eeeh
unaecheka nae kwenye raha kwenye shida atakupa jeraha
pindi yakiegeuka masaa,kizuri kinakua kinyaa
aliyekua rafiki atakuona mzigo
una nyumba gari,unauza genge mabibo,
au bebe bebe unaemtoa dinner,
pesa zikiyumba, “kaa mbali wewe kima”
lalalaa lelele eeh am living my life…×4
kitambo mi nachana zaid ya wanyamwezi
mtaongea sana nyie ma young hamniwezi,
n-z-di kupenga kisa stress mpaka totoroo
nawanyima chakula mwaka huu mule magodoro
ku rap mi ni mkali,style na mitindo
muulize madee ally alivonikutaga chombo
nilikua naosha magari leo namiliki bingo,
aiseeh mi ni mkali ona nalichapa fimboo…
rafiki wa kweli moyo w-ngu eeyyaaah ooohhh
lalalaa j-po niko peace na wanangu yyeeaahh
“don mess up with my life”
lalalaa lelele eeh am living ma life ×4
nanina siiririri leo sina thamani eeh
bora nile chale na mulungu wane
familia yane na vazazi vane
mjukulu wa mbote yani namba moja
j-po wanasema mengi lakini mi siongei
i think baada ya leo yaweza kuja better day,
ndan ya week nauza simu seven days kama hauna kazi piga goti tu pray
karibu a city utoe tongotongo
jiji la matijiri halinaga longolongo
msomi niki wa pili mi niliachaga makongo
arusha ngare naro kwenye ramani ya mbongo…

lalalaa lelele eh am living my life ×4
ambae anajua kesho yake anyooshe kidole juu,,,,,
“no one knows tomorrow “

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...