dipa konnection – kaa mi ni wao كلمات اغاني
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
sijaruhusu
fala amefika na hana plan
anataka kupika na hana njaa
fala amefika na hana plan
anataka miujiza na hana cash
fala amefika na hana plan
anataka kupika na hana njaa
fala amefika na hana plan
anataka miujiza na hana cash
anasema amekaa sana kwa jam jam
anasaka mafala wanasaka ham ham
wansaka news
few wanareview
few wanatema mate
tena wanakufa kiu
maji kibao ila kwa nuhu
akili zao ila mabubu
taji ni zao ila undugu
ka me ni wao sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
sijaruhusu
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
ka ka ka
ka me ni wao
sijaruhusu
mlevi hataki tena busaa
rahisi apewe sumu silaha
mcheshi hacheki tena kichaa
hadithi ya fisi sungura hua
na kazi kusingizia
afisa amefika bila silaha
amevaa mikeka za kishujaa
halali usiku yeye ni hatari
hajali ajali maisha kamari
anafwata upepo yeye ni bendera
anachana kipara yeye ni f_kara
anafwata upepo yeye ni bendera
anachana kipara yeye ni f_kara
anafwata upepo yeye ni bendera
anachana kipara yeye ni f_kara
anafwata upepo yeye ni bendera
anachana kipara yeye ni
fala amefika na hana plan
anataka kupika na hana njaa
fala amefika na hana plan
anataka miujiza na hana cash
fala amefika na hana plan
anataka kupika na hana njaa
fala amefika na hana plan
anataka miujiza na hana cash
ka me ni wao sijaruhusu
كلمات أغنية عشوائية
- the chordettes › the chordettes – down by the old mill stream (feat. arthur godfrey) كلمات اغاني
- z6ne jay › z6ne jay – drugs كلمات اغاني
- kalin white › kalin white – 4 sexonds كلمات اغاني
- william bolcom › william bolcom – toothbrush time كلمات اغاني
- bv equipe › bv equipe – fiji كلمات اغاني
- st rus › st (rus) – балалайка (balalayka) كلمات اغاني
- futuryo › futuryo – ginevra كلمات اغاني
- louis iv › louis iv – addicted كلمات اغاني
- rexx life raj › rexx life raj – overrated كلمات اغاني
- siyoni › siyoni – if i have to كلمات اغاني