kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

diamond platnumz – ramadhan كلمات اغاني

Loading...

yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan

yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan

faraja, faraja mwezi umefika tena
tulomngoja kaja tuzichume neema
molah, nijalie na mi hisani (amiin)
na sadaka nizijali (amiini)
nipe rizki za halali (amiin)
karima
niwezeshe pia futari (amiin)
kwa wenzangu wasio na hali
oh yarabi tafadhali (amiin)
karima
oh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu
na pia unafahamu
tunaishi kwenye dunia ya majaribu allah

nilindie imani molah, imani molah
imani funga yangu iwe salama
nilindie imani molah, imani molah
imani funga yangu iwe salama (ramadhan)

yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan

yah_a_a_a_ah
ya_a_a_a_ah, a_a_a_a_a_ah
yah_a_a_a_ah
ya_a_a_a_ah, a_a_a_a_a_ah
alhamdulillah, alhamdulillah
umenipa pumzi, nimeuona tenaa
wallah furaha, wallah furaha
nipo tayari mvuvi kuvua neema

yarabi nafsi yangu, roho yangu ijaze imani
nirindie funga yangu ibada yangu na mingi mitihani
mwezi ulo mwema uja kwetu waumini
funga ni imara afya kwetu mwilini
ni vyema kutolala k_mi la mwisho
kesha msikitini
tupate na maghfira kwa mola manani

nilindie imani mola, imani mola
imanii funga yangu iwe salama
nilindie imani mola, imani mola
imani funga yangu iwe salama

yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan
yeah ramadhan

enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu
tusikate tamaa na rehma za mwenyezi mungu
hakika mwenyezi mungu usamehe dhambi zote
yeye ni mwenye kusamehe na mwenye kurehemu
aswahumu lii, funga ni yake yeye
waanaajizib
na yeye ndie anae lipa

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...