kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

diamond platnumz – nalia na mengi كلمات اغاني

Loading...

me niliambiwa mapenzi ni kama bahari
ukishazama ndo basi umepotea
k_mbe mwenzangu alikuwa na tanari

badala ya kuzama me kw_ngu akaelea

akawa ananidanganya
nikiwa nadhani ananipenda sana
mikwanja nikamwaga mama
j_po sio kivile la kuongea manaa

wakawa ananidanganya
nikiwa nadhani ananipenda sana
mbona mifedha nikamwaga mama
j_po sio kivile la kuambiwa maana

wakaja wajinga wakamchukua
wakamhonga honga mwisho wakamnunua
wajinga wakamchukua
wakamhonga honga mwisho wakamnunua (ayayayayaaaa)

usinione nalia (rraa), usinione nalia (rraa), mwenzenu nalia na mengi
usinione nalia (rraa), nalia (rraa), sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia (rraa), nalia (rraa), nalia na mengi
(uuuh) jamani nalia (rraa), nalia (rraa), sababu ya mapenzi

najua alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema
kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema
nyie mapenzi yanauma vibaya, vibaya, vibaya
mmmh mapenzi yanauma vibaya, vibaya, vibaya

ile ghafla safari
ndio inanifanya mi usingizi sipati
huwa nak_mbuka mbali
hasa nikisikia harufu yake ya marashi

me kwa uchungu nilivyoumia
nikaandika hili songi la mwanduku nalia
na vocal nikaingiza kwa hisia
naimani iko siku nyimbo itamfikia

me kwa uchungu nilivyoumia mie
nikaandika songi la mwanduku nalia
na vocal nikaingiza kwa hisia
naimani ipo siku nyimbo itamfikia (ayayayaaaa)

usinione nalia (rraa), usinione nalia (rraa), mwenzenu nalia na mengi
usinione nalia (rraa), nalia (rraa), sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia (rraa), nalia (rraa), nalia na mengi
(uuuh) jamani nalia (rraa), nalia (rraa), sababu ya mapenzi

usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa
we ni msaada kwenye tuta so ukich0m_ka balaa
sijiwezi kw_ngu giza naweza kimbiza na hii taa
na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa

we ndo urithi wakung’ang’anie ninung’unike nilie
njia yetu moja niache nipite suka usinibanie
kwa mahaba ya kinyamwezi na swaga zako juu
na miguu napata picha kitandani kungfu

uko juu ukipita lazima wasome namba
we ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
huu ndo mfano hata unajua neno pamba sifa yake
kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba

mikogo kila leo ntajigamba nusu soldier nusu mpweke
kisela piga teke inauma
usiombe mapenzi yakupige teke inauma
usiombe mapenzi yakupige teke eeeh bounce

usinione nalia (rraa), usinione nalia (rraa), mwenzenu nalia na mengi
usinione nalia (rraa), nalia (rraa), sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia (rraa), nalia (rraa), nalia na mengi
(uuuh) jamani nalia (rraa), nalia (rraa), sababu ya mapenzi

aaahaaaaa aaaaaahaaa aaahaaaaa
uuuuuubuuhhuuuu aaaaaaaa aaaaaaaa aaaaa
kikijiiiii liikikikkiiiii

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...