kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dewyne – free will كلمات اغاني

Loading...

tupo hot kama chai
tunawaka tuna wai
middle finger kwako we ifunge kama tai
wanasema n_gga huniwezi mi dewyne
na natisha kama pizza mi nifunge kama tai

nazama ulingoni nakimbiza zangu njozi
labda jah abless nami kuwa kama boss
nafunga kila pande na mabillions
watu wana change colour ka kamillion
eti kisa gari , mali na mamillion ,w_n_leta na magonjwa kisa million
ila wakifa hawazikwi na mamillion
binadamu wan_z_ka sio million

mi napita mchaka mchaka
nakanyaga rapper rappers
wanaojiita rapper trappers
k_mbe kazi kula bata
wakipata zao chapa ,kula bata na madada ,na kuslang zao chata eti wao
godfather n_gga nooo
staki usnitch wako n_gga , gooo
chata ni michano sio yoo
kuimba kwako skor skor
unawaza chu chuuuu

yeah ,navaa hii michano ,iwe kama suti
nashusa tu michano ,ninavaa kama buti
nashusha flow zangu kali kama parachuti
my n_ggas wanasema ,yeah ,do it
embu zama ulingoni
pigania zako njozi
ukiskia soma ,jua kwenu
huna urithi
imma keep wonders sound like a vest on me
wakaweka mpaka nia kuni invest on me
walking through amolo d_mn ,na machains on me
designer look the best ,put the chains on me
tena sina presha ,nima chains on me
indepеndent gotta people who dеpend on me
snitch daily walijua kupretend on me
sasa nina mali wanaspend on me
mkale wa wa kale kudepend on me
mi dewyne , deeblery walisign on me

my n_ggaz they go ,praise on me
nasasa im the gang ,goli
sina gang ,gang rollin
nama ferrari

put the chains on the n_gga
but i flex with the n_gga
my n_ggaz they go say ,i go flu all the filters
yeah ,imma hit it
i go smoke all weed
my n_gga they go smoke
but i roll all will

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...