kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dela – paukwa pakawa كلمات اغاني

Loading...

paukwa pakawa
umesaidia vipi wenzako hawa
nalia
sahani ya mchele
wengine wafa njaa tumbo yako mbele
giza ya mwizi lakini mchana twaogopa siku hizi
kiboko kwa mkorofi
maovu yako yanapigiwa makofi

bridge:
dua la mnyonge halimpati mwewe
mwenye nguvu mpishe
kilio changu kisikize
dua la mnyonge halimpati mwewe
nalia
nalia
uhuru w_ngu mwanidai
mavazi yangu hayafai
eti [?] hapa ni afadhali
songa kando ta_fadhali
nilisoma shule gani
wazazi w_ngu kabila gani?
eti tambo [?] sio simu
hamwelewi yalio muhimu

bridge:
dua la mnyonge halimpati mwewe
mwenye nguvu mpishe
kilio changu kisikize
dua la mnyonge halimpati mwewe
nalia
nalia

paukwa pakawa
umesaidia vipi wenzako hawa
nalia (mama)
sahani ya mchele
wengine wafa njaa tumbo yako mbele
giza ya mwizi lakini mchana twaogopa siku hizi
kiboko kwa mkorofi
maovu yako yanapigiwa makofi
bridge:
dua la mnyongе halimpati mwewe
mwenyе nguvu mpishe
kilio changu kisikize
dua la mnyonge halimpati mwewe
nalia
nalia

outro:
dua la mnyonge
halimpati mwewe
nalia
mwenye nguvu, mwenye nguvu
mpishe, mpishe

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...