kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

deborah nyembo – wewe ni mungu كلمات اغاني

Loading...

lyrics:
wewe ni mungu nani kama wewe
nani mwingine nani kama wewe baba
wewe ni mungu wewe ni namba moja
ukisema neno lazima libadilike,nani kama wewe yesu

wewe ni mungu nani kama wewe
unaye neno la mwisho katika maisha yangu yehovah nisi eehh
simba wa yuda, nani kama wewe,ni mungu,, nani kama wewe babaaa

wewe ni mungu wewe ni namba moja
kila goti na lipigwe mbele yako yesu, maana upo pekee yako
wewe ni mungu nani kama wewe
nani mwanaume kama wewe simba wa yudah yeyeyee
el-shadai, elohim ni wewe eehh
nani kama wewe baba

wewe ni mungu wewe ni namba moja
eh namba moja ,namba moja ni wewe eeee
wewe ni mungu nani kama wewe
nani mwingine nani kama wewe baba
wewe ni mungu nani kama wewe
nani mwingine asimame na wewe yesu ohh
hakuna duniani, wala chini ya udongo
uko peke yako ohh, ehe
wewe ni mungu nani kama wewe
ye-ye-ye-ye-ye-ye
ndó mana tunaimba ehh
ndó mana tunacheza ehh

twendeee
hiyo yoyoyo x9
ndó mana tunaimba ehh
ndó mana tunasifu a ehh
hiyo yoyoyo x9
yesu ehh yesu ehh, mungu w-ngu! amen.!!
yesu ehh yesu ehh muweza w-ngu! amen
yesu w-ngu wewe mushindi
niache tu na yesu ohh x 7
yeleee yelee yelee yelee
natunabino mutuna obinaka wapi? hawa! x2
yesu w-ngu wewe mushindi
niache tu na yesu ohh x 6

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...