kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

daz baba – nipe 5 كلمات اغاني

Loading...

[intro]
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
yah, mon!
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
mtoto wa ghetto toka underground
uh, d_a_z, d_a_z

[chorus]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w_ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh

[verse 1: daz baba]
kama ku_rap na kuimba ‘mic na control
majani na beat nzito ‘bongo records na score
nipe tano tukionana, gonga tukisalimiana, peace tukiagana, fitna haina maana
unipe tano maanisha kuna jealous
maisha ya sasa haikai kulipana visasi
hospitali madawa bei ya ghali, mtaani pesa hakuna tunalia njaa kali
uu_uuu_uuuuh…
nipe tano
[verse 2]
nashuka rhyme ‘tano salamu kwa masela
walio wa jela ‘nawarusha na acappella
rhyme nashuka, panda mzuka
kuba tulipotoka nak_mbuka
nipe beat nipande mzuka, kichwa kimeshachef_ka, maruani yameshaamka
yo’ its like oh_oh
vina vya oh_oh
viunzi tumeviruka kitambo

d_a_z, d_a_z

[chorus: ferooz]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w_ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh

[verse 3: la rumba]
nadhani haujanitambua kwamba la rumba namba tatu
au ukipenda nipe tano, usipo penda pia swadakta
nimeshasota sana kwenye ukata ‘alm_n_sura kudata
sasa nataka kwenda juu kamwe chini nisishuke
shida nilizopata utotoni nisik_mbuke
niishi kwenye raha mustarehe ‘sherehe kila saa
nisitembee kwa miguu tena bali kwa motor_car
mi nataka ni shine zaidi ya hapa ‘niwe bonge la rapa
na ku_make chapaa ‘baadae nisije toka kapa
[verse 4]
nipe tano, nipe (?) sio michano
k_mbe hawa wazushi wote wamo
tupo round table, tupo, tupo more stable
tupo kamili gado, tupa rhymes double, double
p_a_b_l_o yaani pablo_
nipe tano ‘slows haina daz, discipline mapambano
vina vya kutisha vina wadatisha

[chorus: ferooz]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w_ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh

sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
yah, mon!
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
mtoto wa ghetto toka underground
uh, d_a_z, d_a_z
[verse 5: sajo]
niko simple kama x
bize kama teksi ‘cheki
mambo ya race ‘upesi
yo’ mic check one, two
mi ndio jeki, mi ndio reki
mi ndio verse, mi ndio bass
mi ndio radio, mi ndio tape
yaani noma tu, noma tu, nakuacha unagaagaa
sikia sauti ya kachaa, n_gga
vibe, n_gga ‘sikia
verse ya chupa, niite sajo a.k.a. mentali
yakimwagika hayazoleki maji ‘kachaa mwenye kipaji na_
nakupa dibaji mpaka univike taji
niite chupa
yeah

[chorus: ferooz]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w_ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh

(instrumentals)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...