kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

datty tz – uboya كلمات اغاني

Loading...

#intro
u uhhhhh
aaahhhhhh
kazuu vibe

#verse
eti simu zangu huzioni
inamaana umefumbaa macho
masikio usikii uonii
sawa unanidharau sana darling
mbona unapitiliza unapiga
bila kujali yangu halii
eti umehamia kabisa
ata uso w_ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w_ngu uhhuuu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh

#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
#instrumental
#verse 2
mery upo wapi mama alichonitenda hawa
siungwana bhana,k_mbe zile out zilimtoa roho
mbona sik_mtenga twaenda nae show
k_mbe moyo moyo anasema ngoja ngojaa
nakuta status kampost nicco
nikasema niende nawakuta woote
niulize nikaf_kuzwa toka tokaa
eti umehamia kabisa
ata uso w_ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w_ngu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh

#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani eheeheeheee
#instrumental

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...