kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

datty tz – naogopa كلمات اغاني

Loading...

naogopa

(verse 1 datty tz)
mhhh yeiyeee
walionipa maumivu ya mapenzi,sio wa kwanza baba
hawakujali kabisa mateso kuniliza ahaa
nikawa usingizi nakosa kabisa usiku silali
mapenzi ya dhati yakanitesa,furaha ya mapenzi shubiri

(verse 2 amour jj)
usiniweke kwenye maumivu yako,ukanichanganya mama
mimi najali sana mapendo yako,nimeshazama mamaaa
usidhani na mii,ukanifananishe na waleee
minakaupenda moyoni baby,naomba unielewe
pendo lako la thamani kw_ngu
nalitunza kama mboni ya jicho langu
mimi mwenzako nakupenda sana
j_po na wivu kwako mimi pungu
oohhhhh oohh baby uuhhh laalala

(chorus datty tz & amour jj)
minaogopa sana minaogopa baba
minaogopa sana mapenzi hayana dhamana
usiogope mama minakupenda sana
maumivu yale ya nyuma
mapendo yapo kwa mtima

(verse 3 amour jj)
mhhh mhhhhhh
ey kwanza nitatunza siri zako
j_pokuwa huniamini toka moyoni
mhh kwako bado nipo chini yako
niko radhi nitangaze hadharani

(verse 4 datty tz)
unanipa maeneno mazuri,ila wengi mnafanana
kwa kivipi minitakuamini kweli unanipenda sana
nimeshakuweka kwenye maumivu yangu
nimeshalizwa sana
wengi walitesa hisia zangu
walinichanganya sana

(verse 5 amour jj)
na usidhani na mii,ukanifananishe na waleee
minakaupenda moyoni baby,naomba unielewe
pendo lako la thamani kw_ngu
nalitunza kama mboni ya jicho langu
mimi mwenzako nakupenda sana
j_po na wivu kwako mimi pungu
oohhhhh oohh baby uuhhh laalala

(chorus datty tz & amour jj)
minaogopa sana minaogopa baba
minaogopa sana mapenzi hayana dhamana
usiogope mama minakupenda sana
maumivu yale ya nyuma
mapendo yapo kwa mtima
.

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...