congress musicfactory – tazama bwana كلمات اغاني
Loading...
tazama bwana
[ubeti 1]
(wanaume)
tazama bwana, enzini
mfalme mkuu ,na bwana mkuu
ufalme wake ni wa milele
uweza wake wadumu milele
(watu wote)
atawala, milele
mtukufu, twakuenzi
milele haubadiliki
aliye, na ndiye ajaye
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
[ubeti wa 2]
mwana kondoo, mwana wa mungu
mfalme mshindi, bwana mkuu
toa sauti, ya huk-mu
wajue bwana watawala
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
كلمات أغنية عشوائية
- joey miceli and santino cardinale › joey miceli and santino cardinale – could be love كلمات اغاني
- mungoz › mungoz – story كلمات اغاني
- azart records › azart records – наблюдаю (watching) كلمات اغاني
- behind the twelves › behind the twelves – ode to these nights alone! كلمات اغاني
- wintermelon › wintermelon – you كلمات اغاني
- paul mccartney wings › paul mccartney & wings – give ireland back to the irish (alternate version) كلمات اغاني
- salza › salza – cultist (fr66styl6) كلمات اغاني
- the everlasting kid › the everlasting kid – knuck if you buck freestyle (full version) كلمات اغاني
- ssgkobe › ssgkobe – tweet كلمات اغاني
- weyysoon yamekki › weyysoon & yamekki – deadlock كلمات اغاني