kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cogyok nbi – nimeamua كلمات اغاني

Loading...

nimeamua leo, nitakutumikia
nilikotoka mimi, singejitoa
gizani kabisa, ndiko ulinipata
nilikotoka mimi, singejitoa
gizani kabisa, ndiko ulinipata x2

ayoyo
sik_mbuki ya zamani mda hunikubalishi
nasonga mbele yalopita yamepita x2
nasema
sik_mbuki ya zamani mda hunikubalishi
nasonga mbele yalopita yamepita
ayoyo
sik_mbuki ya zamani mda hunikubalishi
nasonga mbele yalopita yamepita

najua si rahisi kutoboa mpaka mwisho
kuna milima, mabonde yaningoja
mito mikubwa lakini nitajikaza
kuna milima, mabonde yaningoja
mito mikubwa lakini nitajikaza x2

yahshuah mimi nafahamu
kuwa we upande w_ngu
sibabaiki niko sure nitashinda x2
yahshua sisi twafahamu
kuwa we u upande wetu
hatutishiki nbi tutashinda x2

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...