kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chris kaiga – kwa ceiling كلمات اغاني

Loading...

[verse 1]
napitia na dinga ina speaker zinatingisha madirisha
kuliko pretty girl anadigi akitingisha
mwili ka ameshikwa na mathithi akiniambia
nammalizanga kama dishi ya familia
huwezi wai raia mwingine ka mi
mi ni ka ninja nawapiga na ma hit
toka l.a hadi mtaa za ma_beast
imekuwa ni ngori aje nimeitiwa chief

[pre_chorus]
hakuna bash ishai nibamba kaa hii
ilianza jana na ikiisha saa hii
ni ju mambang’a walicome_ingi
na bado bash ingeshika ka miti
kwa hivo jaza tumbler na kidri
ita mama pima acome hivi
na tusker malt, na ma_pilsner ka mbili
[chorus]
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)

[verse 2]
si ni ma_party addict, hadi haijalishangi
ka tumedunga njumu kali ama patipati
niite bash mamii, tuko ndani ndani
bora ina waresh na drinks tuko inadi_nadi
kuna vile umefurahisha majirani (sawa)
unawhine ni ka umeitisha four cousins
umerise_isha temperature covid 19
ukitingiza mawezere ndani ya ma_tight jeans
sibaguangi napenda malight na ma_darkskin
mamii whine your body ni ka hucheza katii
punguza calories, uki_whine on me
toka saa moja giz’ hadi ma_morning

[pre_chorus]
hakuna bash ishai nibamba kaa hii
ilianza jana na ikiisha saa hii
ni ju mambang’a walicome_ingi
na bado bash ingeshika ka miti
kwa hivo jaza tumbler na kidri
ita mama pima acome hivi
na tusker malt, na ma_pilsner ka mbili
[chorus]
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling (dance kwa ceiling)

[verse 3]
hii inaeza shika kutoka saii hadi congo
adisia kwiti kwiti na kong’o
leo kidri iko mingi brathe toa lock
waiter leta mbili mbili na ma double shot
mi naskia firi firi kama change ya soo
songesha hizo viti viti sunda dancefloor
mamii twende chini chini mwaga jasho
ni ka umekula firifiri na unawashwo
ebu wa_show
vile mwili hukunjwa kunjwa kama python
vile mwili hukunjwa kunjwa kama nylon
mi nadigi digi style na vibe yako (sawa)
leo si_dance kwa floor na_dance kwa ceiling

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...