kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chris kaiga – kanyagia كلمات اغاني

Loading...

[intro: chris kaiga]
ati
wakanyagie na slippers
high heels na timber
kila aina ya sneakers

[chorus: chris kaiga]
wakanyagie na slippers, high heels na timber
nike, adidas kila aina ya sneaker
kanyagia (ai), ka riba si ya bizna
raiya keep distance, story weka insta
itabidi wametulia tu wakini[?]
niko ndani ya booth kaa mguu, ndani ya kiatu
na nimepiga luku true sijatulia tu
na nimevaa matimber ju, nakanyagia tu
[refrain: chris kaiga]
mastory za upuzi nakanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia
wakijifanya wa juzi nawakanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia
ka umejazwa na ki_chuki nakukanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia
k_mwagia jina yangu chumvi brathe kanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia

[verse 1: chris kaiga]
ati rumors are spreading
brathe maintain, usiamini kila kitu unasomanga kwa mneti
ni kugenje punguza kelele
ka si necessary si unajua story ya mkebe ikiwa empty nanii
kiatu utembeze kama story ha_involve biz punguza kash_sh_
na uwachane na showbiz, showbiz genje
niongeze manoti ndani ya pori

[chorus: chris kaiga]
wakanyagie na slippers, high heels matimber
nike, adidas kila aina ya sneaker
kanyagia (ai), ka riba si ya bizna
raiya keep distance, story weka insta
wakanyagie na slippers, high heels matimber
nike, adidas kila aina ya sneaker
kanyagia (ai), ka riba si ya bizna
raiya keep distance, story weka insta

[verse 2: nyashinski]
yeah, uh
unabonga sana, huchoki kuongea
umejulikana, hukosi kwa umbea
maskio yako kwa story za jirani tu
macho yako na udaku ka miwani juu
a_antenna imepanda juu sana
nipigie ka tunaongea mkwanja tu
rada mi nashugulikia yangu tu
stevie wonder kwa vitanda silaliangi juu
so mastory za ufala unaeza kanyagia
kanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia
bado shingo za marapper mi nakanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia
last year niliona manyoka nikakanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia), kanyagia
adui yako atakusoma buda, kanyagia (kanyagia), kanyagia (kanyagia)
yeah, cheki rumours are spreading
ka si udaku kwani hatuwezi tunga sentensi
mdomo zao zinafunguka tu ka mfereji
ikifika saa ya inside scoop hamchelewi
upelelezi, na tukiongea ukweli ma_story hazitauza bila chumvi kwa mneti
so ‘we kama hupendi funga macho sicheki
ras hii mambo haieleweki
kanyagia
hii ikinilemea mi naachilia

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...