kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chris kaiga – chain chain كلمات اغاني

Loading...

[pre_hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo

[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain

[verse 1]
wamlambez, kaa ulimi
nishakuwa champez na imewacha kuwa siri
ndio maana navaa ma_chain na machingri
na siku hizi, hata ukikam na sanse, sishikiki
na daily niko biz na ma_big fish wa jiji
ma_cheque hu_sign_iwa hadi kalamu haziandiki
maweng kibao, kuzibeba ni tizi
nakaa kanisa empty, hakuna kaa sisi
baadaye niko rieng ya ma_drinks na mayengs
by 9 niko tingz, naona nikibleki 10
saa hii siko right so itabidi nime_left
juu pori venye ziko, brathe, ni kaa zime_dent

[pre_hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo

[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain

[verse 2]
mi na ma_champez tuna_pop ma_champagne hadi
mama, ploti, ana_call masanse, aki
dhani ni ma_gunshot za bunde, nani
siku hizi tumekafunga, tukatupa key
ndio maana mi hudunga kaa msumari
na kitu imebaki ni k_mea tu kitambi
juu ndani ya walenje, nina kambi ya ganji
na siku hizi sina rende, nina gang ya wafuasi

[pre_hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo

[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain

[verse 3]
mi ni kama dredi after nywele sh_ggy, baby
better and improved, making power moves daily
siku hizi siwezi lose chance, niko rada deadly
na kama movie ya romance, siwezi kosa peng ting
nipe rieng, gathee, nicheze kaa mi
nakam na ma_ (ss_ss), mayengs na ma_drinks
acha bash ibeng ka speaker ya ma_three
wakiteta ki_akothee, waambie, “call police” (call them)

[pre_hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo

[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...