cherry – ole كلمات اغاني
moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah
mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata kaah ta
acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kataa, kata, kata kata kaah ta
كلمات أغنية عشوائية
- monsieur herr › monsieur herr – moving to iceland كلمات اغاني
- emma grace › emma grace – i can be anything كلمات اغاني
- adie philippines › adie (philippines) – luha كلمات اغاني
- zxmyr › zxmyr – quizá llevarte كلمات اغاني
- ben budu › ben büdü – kamikaze كلمات اغاني
- sandeul › sandeul – lonesome diary (ost. start-up) كلمات اغاني
- solar fake › solar fake – the race of the rats كلمات اغاني
- scorpinox › scorpinox – on كلمات اغاني
- krispylife kidd › krispylife kidd – spicelatians 3:32 كلمات اغاني
- osiris prt › osíris (prt) – eu escolho amor كلمات اغاني