cherry (tz) – ole كلمات اغاني
[intro]
kimambo on the beat
[verse 1]
moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah
mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)
[bridge]
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
[chorus]
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh. ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata
[verse 2]
acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)
[chorus]
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh. ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata
[outro]
ole ole ole
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh. ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole, ole)
كلمات أغنية عشوائية
- kvelertak › kvelertak – krøterveg te helvete كلمات اغاني
- versvs › versvs – 4×4 كلمات اغاني
- clavish › clavish – everything i say كلمات اغاني
- sofia campos › sofía campos – más de lo que sé decir كلمات اغاني
- mipso › mipso – i wait for your call كلمات اغاني
- teddy adhitya › teddy adhitya – nothing but the best كلمات اغاني
- samokozie › samokozie – hothanded كلمات اغاني
- queenie lasoul › queenie lasoul – like what i see كلمات اغاني
- kori mullan › kori mullan – self harm كلمات اغاني
- saixse › saixse – love me كلمات اغاني