kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chege – goodbye كلمات اغاني

Loading...

[intro: q_chief]
yo, t.m.k. y’all
you feel this one
[drop]

[verse 1: chege]
when i close my eyes
picha yako inajirudia, mama
na sintosahau, kwa matusi uliyo nimwagia, yeah, yeah
tena mbele za watu
bila kujali uzito wa kosa, ah, ah
bora ungenieleza ‘myself ni kama nimekosa, ah, ah
basi, baby good bye
tutaonana mungu akipenda tena
pale tutakapo kutana, tusiache kusalimiana
sikutegemea kama siku moja utakuja nitosa ukimbilie kule kwa mwengine
[drop]
bora ungekwenda mbali kuliko ulivyo amua kufanya na mshkaji
ambaye ni mshkaji wa karibu
ambaye ni rafiki kama ndugu
ambaye anaye jua tulivyo kuwa, kama chege chigunda anakuchukua

[chorus: q_chief]
[alhamdullilah], kwa matusi uliyo nitukana
[alhamdullilah], kwa mabaya uliyo nifanyia
wala sijasahau ‘wema wote nilio kufanyia
sijasahau mabaya yote uliyo nitendea
baby, good bye
kila kitu kina mwanzo na mwisho, mama
baby, good bye
hakuna mwanzo usio na mwisho, mama
[verse 2: chege]
kukupеnda kote kule
sikujua ninajisumbua (ah, ah)
nabaki nalalamika na moyo w_ngu bure kuuchoma (aya)
mpaka naimba kwa hisia
basi ujuе umenizingua
washkaji na machizi nak_mbuka walivyo niambia
kama [music niimbe], nisifate mambo ya dunia tena
kama kusema waseme, nimepokonywa tonge mdomoni, aya
kwa jinsi ulivyo fanya, sikupendi
sikutegemea kama uta_change (uta_change)
machizi wote maskani, hawakupendi
haukufanya fair j_po tuli_spend (tuli_spend)
[drop]
sikupendi, sikutegemea kama uta_change

[chorus: q_chief]
[alhamdullilah], kwa matusi uliyo nitukana
[alhamdullilah], kwa mabaya uliyo nifanyia
wala sijasahau ‘wema wote nilio kufanyia
sijasahau mabaya yote uliyo nitendea
baby, good bye
kila kitu kina mwanzo na mwisho, mama
baby, good bye
hakuna mwanzo usio na mwisho, mama
[drop]

[outro: q_chief]
yup!
ayo, enrico, ha_ha_ha
big up yourself, yo
side fela, t.m.k. y’all
chege chigunda
chigunda, chigunda
yo, chege chigunda, ah
chigunda, chigunda, yo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...