kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

casto mnyama – shobo كلمات اغاني

Loading...

ukijifanya we snitch mi ni snitch pia
ukijifanya unanidisi mi nakuangalia
ukileta za kiwtchi umefeli dear

nalindwaga na mungu baba devil no fear

marafiki masnitch staki
wakujaziana nzi staki
ukijichanganya nakusheat staki
nakupangusa kama kamasi staki
stakagi shobo staki
kambali nakutema staki
stakagi shobo staki
kwenye vita mi sio mwema

kitambo niliaza hastiler we ulizingua
ukajua nguvu ya soda k_mbe ya bia
day after day n_z_jua njia
ile uliyo bana nimekuachia
sitishiki na haso naongeza dua

kwenye mlima mkali ninakimbia
pigo zako zakin_z_ nilishazijua
harakati kama hizi uwezi zuia
jicho la mungu baba linaniangazia

kila ninachofanya nina barikiwa
mungu akipanga uwezi kuzuia
ukihifadhi chuki haito saidia
vile unakaza kunialibia
n_z_di kiwapakata kama siti ya abiria
wengi mnafurahi mimi kufulia nawatuliza
kifuani na bado mnatulia

marafiki masnitch staki
wakujaziana nzi staki
ukijichanganya nakusheat staki
nakupangusa kama kamasi staki
stakagi shobo staki
kambali nakutema staki
stakagi shobo staki
kwenye vita mi sio mwema

mi napiga kaz kukicha everyday
napia naenjoy daily kw_ngu holiday
nikimwaga mboga na mwaga na ugali
upende usipende iyo mimi sijali

ili chaka la nyoka alikai mjusi
kujifanya unanijua unaleta makuzi
usinione nacheka sipendagi upuuzi
kama hauna mchongo basi unaweza uka mute

unacheka cheka unajishebedua
kama we ni snitch pita yako njia
kama unapima kina hichi uwezi kuogelea
wezako walishazama wengine wameshapotea

huu mchezo ni mgumu ahitaji asira
mwezako ninashinda we unatoka bila
bado amniwezi ata mje buku mia
nawatuliza kifuani na bado mnatulia

marafiki masnitch staki
wakujaziana nzi staki
ukijichanganya nakusheat staki
nakupangusa kama kamasi staki
stakagi shobo staki
kambali nakutema staki
stakagi shobo staki
kwenye vita mi sio mwema

haya mama weeeeee
haya mama weeeeee
haya mama weeeee

marafiki masnitch staki
wakujaziana nzi staki
ukijichanganya nakusheat staki
nakupangusa kama kamasi staki
stakagi shobo staki
kambali nakutema staki
stakagi shobo staki
kwenye vita mi sio mwema staki

ukijifanya we snitch mi ni snitch pia
ukijifanya unanidisi mi nakuangalia
ukileta za kiwtchi umefeli dear
nalindwaga na mungu baba devil no fear

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...