kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cafu da truth – mbukinyaa كلمات اغاني

Loading...

kwa streets tumechoka na mapara, mmeamsha spirit ya sankara

una try ku humiliate fact na opinion ndio upate dominion mbele ya idiots, ability ya ku distinguish all these morons na morals za peac_ck,iyo pride waki feed on na bado wanakula izo idioms, strike beyond oblivion ka mlidai wahenga wanaeza spit iyo wisdom, kukupiga chenga na mabega zinainulia ivo ivo, na ka ni sick off usinitick off i’m nothing to sleep on, ni kick off people, tumechoka na rip off, ka mlidhani mko na sicko kwa jiko, ngoja muone wakitoka kijiko, w_ngapi wako na diplomas hadi za bcom, na mna wacheki kwa sitcom, kichwa isikue deposit ya ringworms, na kuna wale wamefurishwa na egos, hamtaki kuona system imetupiga deepthroat, hadi mwananchi akibonga hakosi ma veins kwa shingo, level ya brainwash ni evil, ka jirani hu complain kwake kuna kombamwiko, na ye ndio hu protect rais wetu na pistol, na wakiendelea kutushika ju ya kuimba wimbo, napigia smallz lethal, namwambia pia me niko offended na na represent the people, ni simple, either kuna food kwa riko, na mme legalize ombitho, muanze ku cure the syndrome, anzeni ku invest on something you can build on, acheni ku squander billions, advertising on televisions na mkikuja kwa ground expenditure ni zero, mmegeuza ma chinese ma hero na mna ignore vile wanatreat our people, hatufanyi mambo hivyo na msilaumu the forces, hamwalipi ata enough to protect the people, nimechoka na nimeboeka indoors nikiendelea ivi nitaanza kuuza d_ld_s, watu wanamiss jing jong, plus i want people dancing to this song, hadi muiweke kama ringtone, pandemic imehit na nikabump na mtu kwa street mwenye alikua reported na hizo symptoms, kila mtu aanze kupanic na hizo risto, hadi wakristo na kila religion, hope hii itabumpiwa pale club covid pastor nganga akiwa kiongozi, alafu sunday atu lead kwa worship, najua ideas zangu ni toxic but watu wanadai kitu wanaeza believe on, but ni corruption mna deal on, cheki ma locust, narrow bee flies baringo mawe zikiboiliwa majimbo, wanasiasa mnafaa mafimbo, arms zikiwa zimeshikwa akimbo, middle finger ka ni throne mnadai ku sit on, kwa urinal na p_ss on, figures za ipsos, hatuna b_lls hadi scr_t_m imekua na wrinkles, bahati tuko na simu pesa ya mcsk haiwezi risk on, ju pesa nili confirm mpesa haitoshi rent na wino,…

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...