brian simba – uncle كلمات اغاني
ujue mauncle tunapendaga mawezere
walionazo wanataka wenye chenchede
its just the truth
i dont wanna be insensitive
ila mpunga ndo unafanya mambo yote yawezekane
kwahiyo daily n_z_saka hizo cash baby
dili likitiki on to the next baby
kwahiyo daily n_z_saka hizo cash baby
dili likitiki on to the… on to the next, yes
verse mosi
ndoto za kibosi
mpepe konki
alfajiri ndo uniondolee mikosi
nimelelewa jua la utosi so sioni soo kufosi
ukinizidi nguvu, uh, narudi na kikosi man!
nimezingukwa, hulka
nnaowaita broski
sipendi actors
nakataa wenye swaga za kigosi
snapback kupunguza athari ya mionzi kwa utosi
nafosi nitoke vipi daily kama bwana misosi
no, no sleep!
daily nipo macho
natafuta hela kidali niende kulala nacho
ila picha kubwa ni balling
kama jadon sancho
wallet kama inakuambia kubabababako
na mamanzi wakali niwashike matako
kama mwanaharakati utajijua kivyako
ndoto bado ni mbinu za kuinua kipato
toka kijacho… mpaka kidato… hadi sahivi
كلمات أغنية عشوائية
- rano › rano – intro (nuages,pt. 2) كلمات اغاني
- francesco curra › francesco currà – son le puttane le donne migliori كلمات اغاني
- bovine gang › bovine gang – tick-tock كلمات اغاني
- cris the kiiid › cris the kiiid – gioventù bruciata كلمات اغاني
- dustin the turkey › dustin the turkey – hey baby (santa mix) كلمات اغاني
- young caduq › young caduq – aloe vera كلمات اغاني
- anders nystrom › anders nyström – angel كلمات اغاني
- jackie wilson › jackie wilson – indian love call كلمات اغاني
- escape the fate › escape the fate – just a memory (mozaix remix) كلمات اغاني
- amy ayanda › amy ayanda – young كلمات اغاني