brian simba – kama kawa كلمات اغاني
kama kawa
chorus [brian simba]
oya huku kuna njaa!
hustle asubuhi mpaka giza
wana wanakamua kama squeezer
kama kuna raia kazubaa tunamliza
on jesus!
kila tukikaa kuna mrizla
dili tu ikitick miujiza
pisi mpaka moyo naumiza
maana huku kwetu sio sawa
hustle everyday kama kawa
hustle everyday kama kawa
maana huku kwetu sio sawa
eyy (×2)
verse 1 [brian simba]
ukipata taarifa uwaambie na wenzio
kwamba b anataka shpapi, ndinga na nyumba ina bonge la uzio
na ndio maana nipo mbio
mishe na kevo ni kuwateka masikio
halafu mi nahisi kama mmeanza kukubali, au sio?
ndiyo!
usiku ni kupiga mamtama
watoto wa mama
wanaotuoshea na vindinga kwenye jua la mchana
tunawacheki cheki sana
bwana!
kazi kutulia wasichana
night kali tutaonana na wahuni w_ngu
halafu wote wana mabandana
chorus[brian simba]
oya huku kuna njaa!
hustle asubuhi mpaka giza
wana wanakamua kama squeezer
kama kuna raia kazubaa tunamliza
on jesus!
kila tukikaa kuna mrizla
dili tu ikitick miujiza
pisi mpaka moyo naumiza
maana huku kwetu sio sawa
hustle everyday kama kawa
hustle everyday kama kawa
maana huku kwetu sio sawa
eyy (×2)
verse 2 [fredrick mulla]
hustle everyday kama kawa, nakunywa jasho langu kama dawa
mi masafi wa roho nipo clean, msafi everyday sina chawa
nafanya vitu ambavyo all you n_ggaz mkitaka kujaribu tu lazima mtapagawa
nilipewa ujinga, nikauacha ujinga, nikaamua kurap kama kawa
niko na wana wanamatairi, njoo tukufundishe kuroll
wanapumulia mipira, si bila mipira na bado we ball
magoli we score, watoto wanavutwa ni straw
mechi ikipigwa ni ushindi, hatujui kudraw
verse nikichora picasso, zako hujui kudraw
chorus
oya huku kuna njaa!
hustle asubuhi mpaka giza
wana wanakamua kama squeezer
kama kuna raia kazubaa tunamliza
on jesus!
kila tukikaa kuna mrizla
dili tu ikitick miujiza
pisi mpaka moyo naumiza
maana huku kwetu sio sawa
hustle everyday kama kawa
hustle everyday kama kawa
maana huku kwetu sio sawa
eyy (×2)
verse 3[bruky]
(bruky)niko tu sawa niko tu sawa
ka vile nina akiba m_pawa
mizuka ya kuchanganya dawa
nkizidisha mastress ntapagawa
stress ni mauchafu mi na nawa
fake it till i make it by the hour
hustle everyday kama kawa
iko siku mambo itakua sawa
dili kadhaa, uza bidhaa, nyingine za wizi alaaa
katiza mitaa, poteza masaa, wateja wanakopa balaa
mtaani madeni hayakati
kutwa nzima kutafuta hatupati
badili njia kila wakati
wasije tushika mashati
كلمات أغنية عشوائية
- frank ocean › frank ocean – static كلمات اغاني
- wingnut dishwashers union › wingnut dishwashers union – no future (road song) كلمات اغاني
- river city rebels › river city rebels – farmhouse blues كلمات اغاني
- mad happy › mad happy – renegade geeks كلمات اغاني
- young guns › young guns – daughter of the sea كلمات اغاني
- knaan › knaan – fire in freetown كلمات اغاني
- vagiant › vagiant – angel of the morning كلمات اغاني
- this love › this love – like a million lights كلمات اغاني
- ahmir › ahmir – the climb كلمات اغاني
- wish for wings › wish for wings – from the past to the grave كلمات اغاني