kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blessed paul – moyo wangu كلمات اغاني

Loading...

kuna maneno ya uzima, nimesikia
kando ya kisima, cha yakobo
kama ungalinijua mama, ungeniomba
yangu ya uzima, shida zako ni ndogo
mmmh
ayanywaye maji haya, suluhisho ya muda
ila ayanywaye ninayo toa, hataona kiu tena_2

moyo w_ngu tulia
tulia kwa bwana
usifadhaike maana
bwana yuko nawe

ona kijito cha tiririka, toka enzini
hapo kando umenipanda, daima mbichi kijani
wakati wa kuzaa na uso wa kuzaa mimi nitazaa matunda mema
nitaingia mtaa na ujube ya kuwa, nimempata hasiyebadilika
njoni nyote mnywe maji, kwa maji haya
mavazi yakifuliwa, yanatakata_2

moyo w_ngu tulia
tulia kwa bwana
usifadhaike maana
bwana yuko nawe

wakati wa kuzaa na uso wa kuzaa mimi nitazaa matunda mema
nitaingia mtaa na ujube ya kuwa, nimempata hasiyebadilika_2

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...