kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blessed paul – mimi na yesu كلمات اغاني

Loading...

but god is so rich in mercy, and he loved us so much, that even though we were dead because of our sins, he gave us life when he raised christ from the dead. (it is only by god’s grace that you have been saved!) _ ephesians 2:4_6

here is the first #kalpopiano (kalpop_amapiano)

the lyrics

mimi na yesu mimi na.. argh
mimina yesu mimina argh argh

mimi na yesu mimi na.. argh
mimi na yesu mimi na..
mimina yesu mimina argh
kama ni sifa tunampa yesu
maana mashida kamaliza kwetu

kama ni sifa tunampa yesu
maana mashida kamaliza kwetu

uzima wake wa milele tumeupata
mlima wake hadi kilele tumeupanda
wema wa nchi ya ahadi tumeuona
si sikama musa nchi ya ahadi tutaingia
si sikama musa nchi ya ahadi tutaingia

kama ni sifa tunampa yesu
maana mashida kamaliza kwetu _4

mimi na yesu mimi na argh
tuko wawili mimi na
mimina yesu mimina argh
baraka zako mimina..

kama magari na manyumba zinatufuata
nasema mali na mapesa zatukimbiza_2
m…tafute ufalme wa mungu kwanza
na mengine yote mtazidishiwa
mtazidishiwa mtazidishiwa
kama ni sifa tunampa yesu
maana mashida kamaliza kwetu_2

mimi na yesu mimi na argh
tuko wawili mimi na
mimina yesu mimina argh
baraka zako mimina..

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...