kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

binti feat ego – njoo كلمات اغاني

Loading...

[intro]
nakutaka, basi njoo

verse 1:
kila siku wenda kazi baby
nakusubiri na mapenzi
taki yangu haishi wee nakutaka
nakuenzi
nipe wakati niwe wako we
baridi imenishika babe
nashukuru yote unayofanya lakini

chorus:
baby njoo, niko ready
jipe raha baby
niko nawe
njoo siogope
ntakushika baby
pole pole

verse 2
nshatoka job
mimi na bob
nafanya faster
baby niwe nawe
nataka sana nifike keja
hakuna jam
minina ham
nimetoka job
mi ndo meneja
ntakupa kila style
baby vimajor
ntakupa kila style
baby vimajor
ah ah baby vimajor

chorus:
baby njoo
niko ready
jipe raha baby
niko nawe
njoo siogope
ntakushika baby
pole pole x2

[sax interlude]

chorus:
baby njoo
niko ready
jipe raha baby
niko nawe
njoo siogope
ntakushika baby
pole pole x2

verse 3:
dinner weka kando we ndio supper
niko tayari babe ninakutaka, si unajua we ndio msuper nami najua we ni w-ngu sure, ukiwa down mimi niko upper, nikiwa down we uko upper, we kwenye vocals mimi ndio rapper, ntamtoa nyoka pangoni

chorus:
baby njoo
niko ready
jipe raha baby
niko nawe
njoo siogope
ntakushika baby
pole pole x2

[sax interlude]

njoo usiwe na wasi wasi songa karibu, nipe yako nafasi, wachana na vicheche zao nuksi, njo nipe mapenzi matamu kama nanasi, nanasi baby, nanasi baby

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...