kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

billnass – funga geti كلمات اغاني

Loading...

naskia joto joto joto
naskia joto unavyokesha
mwisho saa sita ooh(saa sita)
nishapitia msoto
mpaka nimefika oooh
touch, take five now
waambie mtaa wa pili
wafunge geti(funga geti)
tunapita majangili
wafunga geti (funga geti)
waambie mtaa wa pili
wafunge geti (funga geti)
tunapita majangili
wafunga geti (funga geti)
mnaojiita wakali, kiukali mnapimwa vipi
nataka sigara kali mif_koni una viberiti
mtaani waya kali, viwaya nitavuta vipi
d_d_d_dadako ananiita continenti
kwenye nchi za kutosha
maiti wanakosa coffin eeh
kama buchi lililo choka
aah n_z_oana chuki tu na sio upinzani
ukitaka kujua burudani
muulize dem wako anajua navaa boxer gani
bado mna chuki kwani?
na mwaka huu mtavaa chupi vichwani
pakua mangoma bila start duble duble
nashangaa mzozwa nani?
kusema nenga kivuruge
nimekuwa baba now
nimekuwa baba lao
siku hizi nachukiwa mpaka waganga wao
nimekuwa stori kwao
zaidi zaidi yao
kunichukia kwaiva pressure tu miili yao
w_n_lenga ni kama nenga(nafanya miracle)
waambie wanaopinga, wazidi overdose
w_n_lenga ni kama nenga
waambie wanao pinga
w_n_lеnga ni kama nenga
waambie wanao pinga
waambie mtaa wa pili
wafungе geti(funga geti)
tunapita majangili
wafunga geti (funga geti)
waambie mtaa wa pili
wafunge geti (funga geti)
tunapita majangili
wafunga geti (funga geti)
na roundi hii babako
lazima tuheshimiane
leo mhuni nimekutana na teke la vandame
mpira pass ndo siri ya ushindi
na slide kwenye nyasi
imechana mkeka wa mhindi
si mliandaa mipango
kaandaa migambo
kaandaa mitambo na bado mkatoa matango
sasa mtaandaa mapango, tandaa mabango
nasajili ng’ambo mtacheza chini ya kiw_ngo
na bado tuta hesabu diary
na dose ndo hii nawapa(kwa stress)
tutasonga ugali of course kwa maji ya bata
na nitawahanyari wauza papa
walinitupa kwa bahari
nifilie mbali na narudi na samaki nawapa
si mlikuwa mnakula bati
me nakula kigae
nyi watoto wa mto wa kati
ndo napita mjiandae
eti unaniombea mauti
si bora usalie kunuti
mnavunja n_z_ my foot
bado hamnikuti
wanaroma ni kama roma nafanya miracle
waambie wanaochoma wasiji overdose
wanaroma ni kama roma(hee hee)
waambie wanaochoma(hee hee)
mbomba ni kama roma(hee hee)
waambie wanaochoma
waambie mtaa wa pili
wafunge geti(funga geti)
tunapita majangili
wafunga geti (funga geti)
waambie mtaa wa pili
wafunge geti (funga geti)
tunapita majangili
wafunga geti (funga geti)
moto moto…
naskia joto unavyokesha
mwisho saa sita ooh(saa sita)
nishapitia msoto
mpaka nimefika oooh
joe, take five now

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...