kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

benzema(ochungulo family) – story za vanessa كلمات اغاني

Loading...

nikivuta shadda anasonga further
ile mlango tulivunja bado imekwama
nimechoka kupretend daily nina janta
wamedanganya,we si takataka

first of all,me napenda ndom
dudu unapenda bado ni earthworm
amemake it,me nafake it
all in all god’s plan bado sijasleki
bado sijakreki,quickie kwa peti
bash yako,si tulikata keki

forehead kubwa,kicheko mbaya
qualities ya dem wa kugwaya
budangu otieno,mathake nganga
mlidhani kweli tutawai pendana
senti nilisaka,napanga kuhama
morning mood,ni wewe ungepata

nilkuona ndani ya x trail ya grey
kando ni mimi ndani ya matatu ya grey
ulikuwa na beste yako kimathi na becky
me nilikuwa back right,jua imeniseti
nimesweat makwapa adi sehemu nyeti
ulismile nilifurahi jo videadly
nikak_mbuka beyonce na jayz
in another life,wacha nikamedi

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...