kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bensoul – sugar rush كلمات اغاني

Loading...

je unak_mbuka
kule tumetoka
miaka imepita yeah (my love)

ona vile picha (mmmh)

jua likitua
nyota zinatangaza
kuwa nakupenda

na wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu

my sugar my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw_nga w_ngu
furaha yangu
raha yangu

je ungependa (mmmh)
tuonane tena
ju mi huku_miss sana (my love)
kila siku nakuwaza (oooh yeah)

jua likitua
mwezi utatangaza
bado nakupenda
wewe unajua

unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu

my sugar, my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw_nga w_ngu
(uyee uyele uyelelele)
furaha yangu, raha yangu
(uyee uyele uyelelele)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...