kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

barnaba feat. alikiba – cheketua كلمات اغاني

Loading...

it’s her beloved
this is barnaba boy classic
yo king i’ve got the message

“i love her ah”
ow ho, oh oh oh, eh mh
oh whoa whoa whoa yah (yo)
mhh, mhh, ah ah, ah ya ya
peke peke mh

nikupe habari, tangu nirudi safari
nikakupata kimwali, tumeshinda dhohari
nitazungumza naye bibi na babu wataridhia
siku ya ndoa shera wigi
mie kanzu na jambia

tumeshinda vizingiti wambea hamtutishi
maneno yenu uchafu
yeye shabuni mie jiki
mtasubiri mazishi, sisi bado tunaishi
utamu wa wali n_z_
kungu ule na parachichi

ayii mwali w_ngu (cheketua)
wee ndio tunu yangu (cheketua)
mbeba siri zangu (cheketua)
mwenye tamu yangu (mh, cheketua)
ayii mama, uyoo (cheketua)
tumetoka far away (cheketua)
waacha waongee (cheketua)
maneno yao usijari (cheketua)

peke, peke peke, peke oh mama
i dedicated this for you baby
my heart is for you baby
them folks
my love is good baby
eh oi yee, iyo yo ah, ehh (eh)

nikupe nikupe oh midola
arusha na manyara ama nikupe dawa
nikupe farahi, nikupe dinari
nikupe bahari, samaki waishi mbalii

roho ziliowapinga waambie ugoniree (waambie ugoniree)
ndanga mkyasi w_ngu woyi, woyi, woyi
tumeruka vizingiti wambea hamtutishi (wambea hamtutishi)
utamu wa wali n_z_, uutafune na ndizi
nahisi mamaa asali yangu we
aje mama mkwe (cheketua) akupe na zawadi

ayii mwali w_ngu (cheketua)
wee ndio tunu yangu (cheketua)
mbeba siri zangu (cheketua)
mwenye tamu yangu (mh mh, cheketua)
ayii mama uyoo (cheketua)
tumetoka far away (cheketua)
waacha waongee (cheketua)
maneno yao usijari (cheketua)

peke, peke peke peke
kaka, kaka ahh
ah, ayi mama
ayii mama (peke peke)
ayii waachi waongee (peke peke)
(peke peke)
ayii mama, tumetoka far away (tumetoka far a way)

barnaba (ah)
tausi ndege w_ngu (cheketua)
ndege w_ngu wa thamani (cheketua)
ndege ulioshika mali (cheketua)
na vitu vyangu vya thamani (mmh, cheketua)
mie adam yeye ndio hawa (cheketua)
nipetena mama (cheketua)
cheke cheke cheke (cheketua)
mhh (cheketua)

(yo) mopao yo king
love is good baby

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...