kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

barnaba classic – tuachane mdogo mdogo كلمات اغاني

Loading...

na spend muda na vavangaa
najinadii k_mbe wenzangu wana rambaa (eboooo)
kila kitu unatambaa
wajigamba wanionaa( dugagambaa)
nilipoteza mudaa, na ukaringaaa
ukaniona mjingaa
na umeharibu mipangoo
nini spend muda kuwa chinii
ili nikuwin umenitupaa ng’amboo

kukupenda sababuu
moyo umeupa maumivuu
hata bila sababuu
moyo umeupa ghazabuu
kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
kutakuta wanipelekaaa
kukupenda ndo wanipelekaaa
kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh

tuachane mdogo mdogo
na me nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo
tuachane mdogo mdogo na me
nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo
nahisi nimeonewa eeeeh
kwa haya nilifanyiwa eeeeh
penzi langu bembea eeeeh
wamebembea wengineeee
shimo mwenyewe nilichimba
ndo linalonizika najiuliza kwanini
mapenzi yote nilimpaa
angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainiii
kukupenda sababuu
moyo umeupa maumivuu
hata bila sababuu moyo umeupa ghazabuuu

kukupenda sababuu
moyo umeupa maumivuu
hata bila sababuu
moyo umeupa ghazabuu
kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
kutakuta wanipelekaaa
kukupenda ndo wanipelekaaa
kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh

tuachane mdogo mdogo
na me nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo
tuachane mdogo mdogo na me
nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo
kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
kutakuta wanipelekaaa
kukupenda ndo wanipelekaaa
kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh
tuachane mdogo mdogo

na me nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo
heheee emma the boy
heheee k!lling the beat
no no no nooo huooooo
niliweka malengo nayeee
ameharibu mwenendoo
penzi kalitia pengoo mmmmmmmmh
simung’unyii sihemiiii
classic

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...