bahati – fikra za كلمات اغاني
mamako akinipenda niite baba wa kambo
wasani kwa uwanja na deal nao kirambo
uliza sauti sol wao ndio kufungua lebo
wakati wanasign mi nishadismiss kitambo
mziki sio kiki makali kama panga
mwisho wa maneno rington nakuvisha kanga
pole octopizzo walikusuk_manga
mzungu ulipata ukashindwa kujipanga
sina urafiki wa mtoto peremende
leo mtajua siri ya kifo cha mende
mr. omollo kwa gym ni matembe
daddy owen ulitu
kwenye beat umeokoka unahubiri
na ulifanya mimba iwe siri
mbona yangu ilikuwa hivyo nikaitoa kafiri
na bado mnauliza na mbona siko kwa injili
siongopi mkisema nishasikia tayari
maneno hainiwezi yananifanya ngangari
natema wala kwa kila hari nashwari
bunda uko salama ndio wa hatari
mi ni stima naogopwa kama kifo
wakisikia bahati akili zinaingia default
mi navibe mi ndio bob marley
mbao ya ronaldo wakojoe walale
mi ndio bump mtaslow down
mi sio wa kukam mi ni born town
ni fikra ya bahati in the love like this
كلمات أغنية عشوائية
- soldiers of jah army › soldiers of jah army – decide you’re gone كلمات اغاني
- sol invictus › sol invictus – deceit كلمات اغاني
- soldiers of jah army › soldiers of jah army – creeping in كلمات اغاني
- sol invictus › sol invictus – death of the west كلمات اغاني
- soldiers of jah army › soldiers of jah army – i don’t wanna wait كلمات اغاني
- sol invictus › sol invictus – lex talionis كلمات اغاني
- soldiers of jah army › soldiers of jah army – brothers & sisters كلمات اغاني
- sol invictus › sol invictus – lonely crawls the night كلمات اغاني
- soldiers of jah army › soldiers of jah army – summer breeze كلمات اغاني
- sol invictus › sol invictus – the street of many murders كلمات اغاني