kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bahati – bambika كلمات اغاني

Loading...

[intro: rekles]
(motif di don)
cheki, ati, eh

[pre_chorus: rekles]
rada safi, yaani basi
bambi_bambika
na juu sijali, ni wazi
mi nishabambi_bambika

[chorus: rekles and bahati]
ati, ati, ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika
ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika, eh
tuko na mola, tunajiachilia leo
bahati, ethic, iwafikie leo
bambi_bambika, ka
bambi_bambika
ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika, eh

[verse 1: bahati]
karibu kwa hii party leo
tunauza imani bila money leo
ametutoa mbali huyo
uliza hata swat, hatuwachi leo

[verse 2: swat]
niko chupri, niko chupri kwa pori
mboka lazima itachapwa, si_worry
kwa dimanga siwezi rudi, ni ngori
cheda sakwa, uza meda, sichoki
na kachoki ni kakonki, katoti
kaa ni babi amedai, atacheza
kaa ni gw_ngi, ni lazima achezewe
pewa, pewa, sasuliwa, perembwa

[chorus: rekles and bahati]
bambi_bambika, ka
bambi_bambika
ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika, eh
tuko na mola, tunajiachilia leo
bahati, ethic, iwafikie leo
ati, ati, ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika

[verse 3: zilla]
nimcheki na konyagi kukanyagia
kamcheki na konyagi kukanyonga
buda, kukacheki muda, kaka fisia
eh, juzi, suzie akamkazia
eh, kaa ni pedi, niekee tatu, nitakupata
kaa ni lady, heri pesa kwa kibanda
nieke dredi, nizipande fertilizer
tukimedi kwa kinganya tukikata

[verse 4: seska]
kaa ni mboka, bana, sitakaokota
no kimbelembele, usi_turn kukaokota
kaa ni family, nadai son, daughter
round_ia stick tatu tatu kaa mbota
penda starehe, saa utare
huwezi bargain starehe
pumwani data hapo kando ya starehe, mi born starehe
sin huwa si liquor, kam kusele

[pre_chorus: rekles]
rada safi, yaani basi
bambi_bambika
na juu sijali, ni wazi
mi nishabambi_bambika

[chorus: rekles and bahati]
ati, ati, ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika
ati bambi_bambika, ka
bambi_bambika, eh
tuko na mola, tunajiachilia leo
bahati, ethic, iwafikie leo

[outro: bahati and rekles]
everybody, leo, mungu wa redio ni leo
leo, collabo of the year ni leo
leo, mungu wa redio ni leo
leo, collabo of the year ni leo
_ka, ati, ati, ati bambi_bambika

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...