kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

b2k mnyama – lala كلمات اغاني

Loading...

mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha

mpaka sasa unavyonipenda hadi raha
mara tu ukinisogelea

ukinigusa ukinik_mbatia

kw_ngu naona zawadi

story za mapenzi wakiniletea

mbona wazushi wan_z_ngua

mbona sisi tuko good

hawajui unavyonipendelea

waninyonyesha huku nimekua

upendo umezidi

mpaka unik_mbate ndo unaongea

nikiwa mbali baby hujazoea
au unafanya kusudi

kuna wao af kuna sisi

kuna wewe af kuna mimi

tulianza kama utani na

saivi tunaenjoy love

mchana kweupe hatujifichi

nipe nikupe yani mambo fiti

tulianza kama utani na

saivi tunaenjoy love

lala lala lalaa la lalalaaaa

lala lala lalaa la lalalaaaa

uyeeee aaaaah

ooooh aaaaaaaah
na ikiwa mapenzi sumu

basi we ndo utaniua

wanadamu wakitaka nihuk_mu

naomba simama kunitetea

maaana sio mwilini tu uuh

mpaka moyoni unanijua

uwezo wa mabody guard sina

mi mnyonge ntakulinda na dua eeeh

usoni moyoni nimejawa na furaha

na macho ila sioni wa kuninyima raha

mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha

mpaka sasa unavyonipenda hadi raha

mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha
mpaka sasa unavyonipenda hadi raha

lala lala lalaa la lalalaaaa

lala lala lalaa la lalalaaaa

nakupenda leo kesho mpaka kufa baby

lala lala lalaa la lalalaaaa

mmmh i love you

lala lala lalaa i love you uuuh

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...