kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

at – un كلمات اغاني

Loading...

[chorus:]
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani
[post_chorus:]
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani

[verse 1:]
(?)tabia mbaya ile uliyo jaliwa na pia uwe na haya acha kunichafulia
(?) tabia mbaya ile uliyo jaliwa na pia uwe na haya acha kunichafulia
ki vyangu vyangu naendelea endelea
mafanikio yangu ruhusa kuyachukia
ki vyangu vyangu naendelеa endelea
mafanikio yangu ruhusa kuyachukia

[hook:]
nilidhani dogo k_mbе jitu zima lataka muhogo na wala n_z_ hakuna
nilidhani dogo k_mbe jitu zima lataka muhogo na wala n_z_ hakuna

unalotaka unalotaka mbona halikuwa
umenikosa umenikosa nini umeambulia
unalotaka unalotaka wala halikuwa
umenikosa umenikosa nini umeambulia
[chorus:]
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani

[post_ chorus:]
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani

[verse 2:]
kash_sh_ zako
kash_sh_ zako
usilete kw_ngu mimi
tamaa yako
tamaa yako
itafikia mwishoni
kash_sh_ zako
kash_sh_ zako
usilete kw_ngu mimi
tamaa yako
tamaa yako
itafikia mwishoni
pia nasoma nizijue njia maana naona wani zuilia
pia nasoma nizijue njia maana naona wani zuilia
[verse 3:]
maneno maneno mimi sipendi
wala ra_ra_ra sizichezi nakuambia ushasikia kiruka njia
maneno maneno mimi sipendi
wala ra_ra_ra sizichezi nakuambia ushasikia kiruka njia

[hook:]
unalotaka unalotaka mbona halikuwa
umenikosa umenikosa nini umeambulia
unalotaka unalotaka wala halikuwa
umenikosa umenikosa nini umeambulia

[chorus:]
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani

[post_ chorus:]
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani

[hook:]
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobolo mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
we! ona joh sina kapiga na na c9 ( hey )
ona joh sina kapiga na na c9 ( hey )
we c9 ( hey )
we c9 ( hey )
we c9 ( hey )
hey
hey
hey
we c9 ( hey )
we c9 ( hey )
we c9 ( hey )
ukiokota okota usioneshe wenzio, wata kunyang’anya

[hook:]
tara tara >> taratibu
tara tara >> usijipe aibu
tara tara >> taratibu
tara tara >> unajipa adhab
tara tara >> taratibu
tara tara >> usijipe aibu
tara tara >> taratibu
tara tara >> unajipa adhabu
ardhi ina mafuta; lakini sio ya kujipaka eh
hela’

[chorus:]
unatamani
unatamani
upendane na mimi
unatamani
unatamani
haiwezekani

[post_ chorus:]
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani
weleh ile; ile leh…
kwako nitafute nini?
weleh ile; ile leh…
mimi na w_ngu nyumbani

[outro:]
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole
kobole mwana’ kobole

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...