kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

anjella – sina bahati كلمات اغاني

Loading...

mmmmh… mmh oh yeah yeah yeah yeah

mbio za sakafuni huishia ukingoni sikujua
we nenda salama mi najiuguza
wameshakurubuni fadhila zangu huzioni natambua
siwezi kung’ang’ana ushanipunguza

hee ninajihisi bahati sina
sahau yote ya jana
bora ungesema mapema kama kuna kosa nilokutendea
uliniahidi utanilindia heshima, hutaifanya danga
k_mbe hata yale maneno mazuri uliyosema uliongopea

ooh baba! k_mbe siri ya mtungi aijuaye kata
ooh baba! moyo umeumbwa kupenda mwingine nitapata
ooh baba! yakiisha mavumbi mafua yatakata
ooh baba! na ukweli haufungwi kwenye penzi la balaa

sina bahati, sina bahati
sina bahati, sina bahati
nilishajaribu kufosi hadi kupiga ndele (sina bahati)
ila bado nimikosi acha niende mbele

eh sishindani na upepo kwa mbio
limenikosa sikio
mie kichwa nijigeuze kalio
bure nitajiumia
mizani haipimi kulia
shetani amеlibamia
siku hizi anajiita f_gio
anawamaliza eeh

mwili wema w_ngu umeniponza
ni mifupa nono kulifyonza
umeniacha njia panda mi naoza
bila huruma

masikini moyo umеnichonza
jahazi lazama ye nahodha
mateso kila likich0m_za
i wish siku zirudi nyuma

ooh baba! k_mbe siri ya mtungi aijuaye kata
ooh baba! moyo umeumbwa kupenda mwingine nitapata
ooh baba! yakiisha mavumbi mafua yatakata
ooh baba! na ukweli haufungwi kwenye penzi la balaa

sina bahati, sina bahati
sina bahati, sina bahati
nilishajaribu kufosi hadi kupiga ndele (sina bahati)
ila bado nimikosi acha niende mbele

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...