andy mburu – ananijali كلمات اغاني
nimeomba
(i have prayed)
tena sio mara moja,
(and not just once)
kwa roho na kwa kweli,
(in spirit and in truth)
bali sij-pata,
(yet i have not received)
majibu yangu kuyaona,
(my answers to see)
adui, shetani mwongo,
(the enemy, satan the liar)
asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
(says that almighty god does not care for me)
bali, siwezi sitomkubali,
(yet, i cannot, i will not agree)
niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,
(i am certain that truly i know).
ananijali (he cares for me)
sitokubali, kuzama kwenye maji,
(i will not agree to sink in the waters)
ananipenda (he loves me)
yeye ni mwema
(he is good)
ni za dunia, (earthly)
zangu hizi shida, (are my troubles)
hanitanizuia kukutumikia, (they won’t keep me from serving you)
nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima,
(i will follow that way, of truth and life)
kwani, ulisema yote yamekwisha,
(for you said, it is all finished)
sitababaishwa, (i will not fret)
ninajua yatapita, (i know they will p-ss)
kwani, baada ya usiku giza, (for, after a dark night)
ninayo hakikisho, asubuhi itafika,
(i am certain that morning will arrive)
كلمات أغنية عشوائية
- cash j › cash j – toxic كلمات اغاني
- jung dong ha › jung dong ha – sunshine كلمات اغاني
- shuggy davidson › shuggy davidson – i tried to grow up, can you do the same? كلمات اغاني
- tair nash › taïr nash – anime كلمات اغاني
- mariana fagundes › mariana fagundes – é só me chamar كلمات اغاني
- mega ran › mega ran – hojo (judgement day) كلمات اغاني
- lee tze lim 李哲林 › lee tze lim 李哲林 – 人间 human dimension كلمات اغاني
- suego › suego – fugazi – interlude كلمات اغاني
- donnysantisocial › donnysantisocial – 2020 blues كلمات اغاني
- fana kor › fana (kor) – remove again كلمات اغاني