amoni & malumbu kigoma – usifurahi juu yangu كلمات اغاني
(usifurahi juu yangu, eeh adui yangu
niangukapo mimi, nitasimama tena
k-mbuka niwapo gizani, bwana ni nuru yangu
hawezi kuniacha bwana, mimi niangamie)×2
si vyema kunisema vibaya, nipatapo tatizo
shetani wampa nafasi
ndani ya moyo wako
k-mbuka kwa maombi yako nitasimama tena
na utapata baraka kutoka kwake mungu
si vyema kunisemasema vibaya, nipatapo tatizo mama
shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako
k-mbuka kwa maombi yako nitasimama tena
na utapata baraka ndani ya moyo wako
maana heri mtu yule ambaye kinywa chake
huwabariki wenzake n kuwaombea
maana maneno mabaya huchafua moyo
hukuweka mbali na mungu, ni vyema uwe safi
ukiona niko kwenye shida niombee
ndoa yangu imevunjika wewe niombee
nikif-kuzwa kazini ndugu niombee
magonjwa yananiandama niombee
biashara haina faida niombee
nikikawia kupata mtoto niombee
nimekuwa mtoto yatima niombee
hata nij-po kuwa mjane niombee
(ujue kwa maombi yako, mimi nitasimama tena
ujue kwa maombi yako nitabarikiwa)×4
كلمات أغنية عشوائية
- puto prata › puto prata – waatao كلمات اغاني
- mikael chris nord › mikael chris nord – could it be كلمات اغاني
- mlx no › mlx (no) – tysk كلمات اغاني
- thabsii › thabsii – unfold كلمات اغاني
- litxs › litxs – mami كلمات اغاني
- joao curi › joão curi – corro atrás كلمات اغاني
- yamilex › yamilex – esperanza كلمات اغاني
- raf camora › raf camora – zombie كلمات اغاني
- whosjoody › whosjoody – tyf كلمات اغاني
- drewerld › drewerld – two seconds كلمات اغاني